The Healing Boat Alternative Clinic

Afya Bora kwa Njia ya Asili — Usagara Mwanza

Kuhusu Clinic

The Healing Boat Alternative Clinic ipo Usagara Mwanza. Tunatoa tiba mbadala kwa njia za asili kusaidia mwili kujiponya, kuimarisha kinga na kuboresha afya kwa ujumla.

Huduma Zetu

Mawasiliano

Mahali: Usagara – Mwanza

Simu: 0767540258

Simu Mbadala: 0659580084